Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako”

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba amefunguka mengi sana kuhusiana na muziki wake lakini pia kuhusiana na maisha yake kwa ujumla na kufunguka kwa kusema kuwa ” naumia sana ninapoona watu wanaitukana familia yangu kiukweli sio kitu kizuri”By Ally Juma.


The post Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More