Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba amefunguka mengi sana kuhusiana na muziki wake lakini pia kuhusiana na maisha yake kwa ujumla na kufunguka kwa kusema kuwa ” naumia sana ninapoona watu wanaitukana familia yangu kiukweli sio kitu kizuri”By Ally Juma.


The post Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” (+Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More