Alikiba Alizwa na hali ya Chid Benz ya Sasa. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alikiba Alizwa na hali ya Chid Benz ya Sasa.

msanii mkubwa bongo na nje ya nchi alikiba ambae kwa sasa anatamba na kibao kipya cha mwambie sina amefunguka na kutoa masikitiko yake makubwa aliyonayo kila anpoon  hali ya msanii mwenzake chid benzi inazidi kuwa mbaya.


alikiba nasema kuwa amekuwa akishangaa na kuumia sana kila anpokumbuka jinsi chid benzi alivyokuwa kinara katka muziki lakini tangu alipojiingiza katika madawa imekuwa kama sumu ambayo kila mtu amejitaidi kuiondoa lakini kila anaejaribu anakwama.


alikiba alipokuwa katika majojiano na clouds media alisema “Ninamuombea sana kaka yangu chid benz apatekushinda matamanio ya moyo wake.Allah amasaidie apate kushinda mitihani anayopitia kwa sababu bado tunamuhitaji sana,  na ana familia pia, tunamuombea kwa sasa kwa sasa kama hatoamua kutoka yeye mwenyewe hakuna atakae mtoa katika shimo alilodumbuki.Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi.”


Chid benz amekuwa akisaidiwa kila kukicha ili kuweza kuachana na madawa ya kulevya lakini inashidikana kutokana na kuwa bado moyo wake haujak... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More