Alikiba na Timaya Kukutana ndani Ya Chulo Vibes. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Alikiba na Timaya Kukutana ndani Ya Chulo Vibes.

Msanii mkubwa kutoa nchini Nigeriat TIMAYA ,  ameweka wazi kuwa msanii mkubwa kutoka bongo Alikiba atakuwepo katika EP yake inayotarajiwa mwaka huu.


Ep hiyo inayotegemea kutoka inakwenda kwa jina la chulo vibe inategmewa kuwa na wasanii wengine wengi wakubwa lakini Alikiba akiwa miongozni mwa wasanii walioekena kuwa wanafaa kwa muziki na msanii Timaya.


Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, Timaya alaindika “My brother Alikiba from Tanzania  come through my EP  chulo vibes”


Lakini pia habari za kunyapia nyapi zinasema kuwa msanii Alikiba pia anategemea kutoa album mwaka huu.


The post Alikiba na Timaya Kukutana ndani Ya Chulo Vibes. appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More