Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi barani Afrika asema hana wakati wa kutafuta mke - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi barani Afrika asema hana wakati wa kutafuta mke

Watumiaji wa mtandao wa Twitter wamewasilisha maombi yao ya kutaka kuolewa na mtu tajiri zaidi barani Afrika Aliko Dangote, baada ya gazeti la Uingereza Financial Times kuripoti kwamba anatafuta mke.


Source: BBC SwahiliRead More