Aliyekuwa bosi wa TMF, ateuliwa kua msimamizi mkuu wa vyombo vya habari vya CCM - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aliyekuwa bosi wa TMF, ateuliwa kua msimamizi mkuu wa vyombo vya habari vya CCM

Usemi maarufu katika vitabu vifakatifu kuhusu jiwe lililokataliwa na waashi kuwa jiwe kuu la pembeni, unasadifu uteuzi wa gwiji la habari nchini, Ernest Samson Sungura, kuongoza mageuzi makubwa ya vyombo vya habari vya CCM. Habari zilizopatikana kutoka ndani ya vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zinasema kuwa uteuzi wa Sungura, umetangazwa leo jijini


Source: Kwanza TVRead More