Aliyesemwa Kuwa Mke wa Dudu baya Afunguka Mazito - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aliyesemwa Kuwa Mke wa Dudu baya Afunguka Mazito

Mwana mama aliyesemwa kuwa Aliwahi kuwa  mke wa msanii Dudubabya amefunguka mazito mbele ya waandisi wa habari baada ya mume wake huyo kwenda katika maitandao ya kijamii na kusema kuwa anawajua wote wanaofanya biashara ya ngono haramu ya kinyue cha maumbile.


Mwanamama huyo anasema kuwa liijua siri ya mwanaume huyo baada ya kuifuma simu yake usiku akiwa amelala na kuona sms zilizokuwa zikitoka kwa mtu kama mwanamke lakini akiangalia jina la namba hiyo alikuwa ni rafiki wa mume wake ambae ni mwanaume na alikuwa anamjua.


Mwanamama huyo anasema kuwa baada ya kuongea  kwa sms na mwanaume huo kwa muda alikuja kugundua kuwa wamekuwa wakiona akila mara na kwamba walikuwa wakifanya mambo hayo kwa siri.


hata hivyo mwanamama huyo anasema kuwa pamoja na hayo anamjua dudbaya kuwa kama anataka kufanya jambo kama hilo hawezi kushindwa kwa sababu ana uwezo wa kumlazimisha mtu kufanya mapenzi kwa nguvu hata ama ni kwa kumpiga.


 


 


The post Aliyesemwa Kuwa Mke wa Dudu baya Afunguka Mazito appeared f... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More