Ally Mayay atema cheche tukio la mwandishi wa habari kupigwa na polisi uwanjani ‘makampuni yatakimbia na mpira wetu utakufa’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ally Mayay atema cheche tukio la mwandishi wa habari kupigwa na polisi uwanjani ‘makampuni yatakimbia na mpira wetu utakufa’ (+video)

Mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga na Mchambuzi wa michezo nchini Tanzania, Ally Mayay amefunguka kuhusu tukio la polisi kumpiga mwandishi wa habari, Silas Mbise.


Mayay amesema kitendo hicho kinachafua taswira ya mpira wa miguu na madhara yake ni makubwa kwani makampuni na wadau huenda wakajitoa kwenye uwekezaji.


The post Ally Mayay atema cheche tukio la mwandishi wa habari kupigwa na polisi uwanjani ‘makampuni yatakimbia na mpira wetu utakufa’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More