ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ALLY SEIF SAID MAISHA MURUWA MBAGALA CHARAMBE BAADA YA KUJISHINDIA BAJAJI YA SPORTPESA

KAMPUNI ya Sportpesa inaposema Kuwa wanainua kama si kuboresha maisha ya watanzania huwa wanamaanisha. 
Takribani siku mia moja zilitumika kuwaunganisha wana michezo katika kubashiri michezo mbalimbali na kujipatia mkwanja baada ya kushinda huku mshindi akiwa ana uwezo wa kuibuka na bajaj aina ya TVS king kutoka sportpesa. 
Hii ilikuwa promosheni maalumu ilioyoisogeza Sportpesa karibu kbs na wateja wake, lkn pia ikiinua maisha yao kwa njia rahisi kabisa ya kubashiri mechi kadhaa na kushinda Bajaji

Ali Seif Said amekuwa anamiliki salon ndogo Mbagala Charambe kabla ya kubashiri na Sportpesa 

Hapa tunakwenda moja kwa moja Mbagala Charambe tunakokutana na Ali Seif Said, mmiliki wa salon ndogo katika eneo hili kabla ya kubashiri na Sportpesa. 
Bwana Said aliyejiunga na timu ya ushindi kwa kubashiri na Sportpesa, alifanikiwa kuwa miongoni mwa washindi wengi waliojishindia Bajaji
Ni ushuhuda wake kwamba ushindi huo ulibadili kabisa maisha yake kwa kuanzisha salon mpya na ya kisasa kabisa. 
Laki... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More