Ambokile kuhusu kwenda Yanga, Simba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ambokile kuhusu kwenda Yanga, Simba

Akiwa uwanjani hutumia nguvu, kasi na akili, ukitazama kwenye orodha ya wafungaji wa ligi kuu Tanzania bara hadi sasa yeye ndio kinara wa kuzipasia nyavu akiwa ameshafunga magoli tisa (9) namzungumzia mshambuliaji wa Mbeya City Eliud David Ambokile.


Msimu uliopita alimaliza akiwa na mabao 10, nini kinamfanya Ambokile awe bora?


“Kikubwa ni kujitambua, kujituma na kusikiliza maelekezo ya wenzako na maelekezo ya mwalimu. Kingine kinachonifanya nionekane bora ni kutokana na timu yangu tunavyopeana ushirikiano kuanzia wachezaji benchi la ufundi na uongozi.”


Anafanya nini anapokuwa nje ya uwanja


“Napenda sana kushinda nyumbani kupiga story na wadogozangu, dadaangu pamoja na mzee wangu kwa sababu ndio watu ambao nipo nao kwa muda mwingi.”


“Mimi sio mtu mwenye mizunguko mingi, nikitoka mazoezini nalala na kupumzika. Ninapokuwa nyumbani napenda kuangalia mpira narudia kuangalia mechi ambazo nilicheza na mechi za ligi za nje England na Spain ambazo naweza kujifunza.”


Ukweli upoje kuh... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More