Ambokile kukiwasha kule Sauz Jumatano - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ambokile kukiwasha kule Sauz Jumatano

STRAIKA wa Mbeya City, Eliud Ambokile ambaye amejiunga na Black Leopard ya Afrika Kusini kwa mkopo, huenda Jumatano akaichezea klabu yake hiyo mpya mchezo wake wa kwanza kwenye Kombe la Nedbank dhidi ya Bidvest Wits.


Source: MwanaspotiRead More