Amri Kumi (10) Za Biashara Ambazo Hupaswi Kuzivunja Kama Unataka Kufanikiwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Amri Kumi (10) Za Biashara Ambazo Hupaswi Kuzivunja Kama Unataka Kufanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa, Tafiti za kibiashara zinaumiza na kusikitisha. Tafiti hizi zimekuwa zinaonesha kwamba asilimia 80 ya biashara zinazoanzishwa huwa zinakufa ndani ya miaka mitano. Na hata zile ambazo hazifi ndani ya miaka hiyo mitano, miaka mitano mingine nusu yake zinakuwa zimekufa. Kwa namba rahisi kuelewa ni kwamba, kama mwaka huu 2019 zimeanzishwa biashara 10, […]


Source: Hisia za MwananchiRead More