Amunike apewe ushirikiano ainyanyue Taifa Stars yetu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Amunike apewe ushirikiano ainyanyue Taifa Stars yetu

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Mnigeria, Emmanuel Amunike kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars kuchukua nafasi ya Salum Mayanga aliyeiongoza timu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja tu na ushei.


Source: MwanaspotiRead More