AMUNIKE BILA MAANDALIZI NA WACHEZAJI WALIO TAYARI NI KAZI BURE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AMUNIKE BILA MAANDALIZI NA WACHEZAJI WALIO TAYARI NI KAZI BURE

KATIKA wiki ambayo nyota wawili wa zamani wa La Liga, kiungo mshambulijai Clarence Clyde Seedorf na mshambuliaji Patrick Stephan Kluivert, wote Waholanzi walikuwa wanatambulishwa kuwa makocha wa timu ya taifa ya Cameroon, nchini Tanzania nako kulikuwa kuna tukio kama hilo.
Nyota mwingine wa zamani wa La Liga, winga Emmanuel Amunike aliyecheza Barcelona kati ya mwaka 1996 hadi 2000, alikuwa anatambulishwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya nchi hii, Taifa Stars.
Cameroon imemchukua Seedorf aliyecheza Real Madrid kati ya 1996 na 2000 kama kocha Mkuu na Kluivert ambaye alicheza Barcelona kuanzia 1998 hadi 2004 kama Msaidizi wake, wakati Tanzania Amunike aliyesaini mkataba wa miaka miwili atakuwa kocha Mkuu wa timu zote za taifa akisaidiwa na wazawa. 

Na siku mbili baada ya utambulisho wake, nilikutana naye kwa mahojiano ambayo yalichapishwa katika tovuti hii wiki hii.
Katika mahojiano hayo, Amunike alisema kwamba hakuja Tanzania kufanya miujiza, bali anachowahakikishia wapenzi wa soka wa nc... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More