AMUNIKE: HATA NIGERIA ILIPITIA ILIPO TANZANIA, IMANI NA KUJITUMA VITATUPANDISHA KWENYE KILELE CHA MAFANIKIO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AMUNIKE: HATA NIGERIA ILIPITIA ILIPO TANZANIA, IMANI NA KUJITUMA VITATUPANDISHA KWENYE KILELE CHA MAFANIKIO

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
MAPEMA wiki hii Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtambulisha winga wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mpya wa timu ya taifa, Taifa Stars ambayo ipo kwenye mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon.
Na baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona ya Hispania kusaini mkataba wa miaka miwili, Bin Zubeiry Sports – Online ilikutana naye kwa mahojiano maalum katika hoteli ya New Africa mjini Dar es Salaam kuelekea majukumu yake mapya.
Bin Zubeiry Sports – Online; Habari yako kocha 
Emmanuel Amunike; Nzuri, karibu
Bin Zubeiry Sports – Online; Asante…naitwa Mahmoud kutoka tovuti ya Bin Zubeiry Sports - Online 
Emmanuel Amunike; Sawa, Amunike hapa, kocha wa Tanzania

Emmanuel Amunike (kulia) katika mahojiano na mwandishi wetu, Mahmoud Zubeiry juzi mjini Dar es Salaam

Bin Zubeiry Sports – Online; Karibu Tanzania gwiji wa Nigeria  
Emmanuel Amunike; Asante sana Mwandishi m... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More