Amunike na Waafrika wengine waliocheza Barcelona - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Amunike na Waafrika wengine waliocheza Barcelona

HATIMAYE Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imemtangaza staa wa zamani wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mpya wa timu hiyo. Amunike anatua Tanzania akiwa kama mchezaji wa zamani mwenye jina kubwa na ni miongoni mwa mastaa saba wa Afrika waliowahi kucheza klabu maarufu ya Barcelona ya Hispania.


Source: MwanaspotiRead More