Amuua kwa kumchoma kisu mvulana wa miaka 17 kwa kusikiliza muziki wa Hip Hop, Mahakama yamuachia huru - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Amuua kwa kumchoma kisu mvulana wa miaka 17 kwa kusikiliza muziki wa Hip Hop, Mahakama yamuachia huru

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael Adams (27) kutoka nchini Marekani ameachiwa huru na Mahakama mjini  Peoria Ave, Arizona, Marekani,  baada ya kukutwa bila hatia kwenye kesi yake ya tuhuma za mauaji ya kijana mwenye umri wa miaka 17, Kwa kumchoma kisu hadi kufariki kwa sababu ya kusikiliza muziki wa Hip Hop.


Elijah na Michael Adams

Kwa mujibu wa maelezo ya awali yaliyotolewa Alhamisi iliyopita na Polisi mjini Peoria Ave,  Yalieleza kuwa mtuhumiwa huyo alikiri kufanya tukio hilo na ameeleza sababu za kufanya hivyo ni kuwa marehemu alikua anasikiliza muziki wa Hip Hop kwenye gari lake jambo lililomfanya ajione hayupo salama na kuanza kumvamia kwa kumchoma kisu.


Taarifa za Michael Adams kuachiwa huru zimetangazwa na Mahakama mjini humo, Mapema siku ya leo, Hii ni baada ya gereza la Arizona State Complex kutoa taarifa kuwa mtuhumiwa huyo aliyekuwa anashikiliwa kupisha uchunguzi, ameachiwa huru baada ya kukutwa bila hatia mahakamani.


Mtuhumiwa alijiona hayuko salama baada ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More