Ander Herrera afunguka sababu ya kuacha kucheza nafasi yake ya zamani no.10 alipofika Manchester United

Mchezaji wa Manchester United na taifa la Uhispania Ander Herrera amefunguka vitu vingi sana kuhusiana na maisha yake, katika mahojiano aliyofanya na Skysport.Mbali na kuongelea maisha yake na tabia za wachezaji mbalimbali wa Mnchester lakini pia amefunguka kuhusu kubadili nafasi yake ya zamani aliyokuwa akiicheza kabla ya kujiunga na Manchester United wakati anaitumikia Atletico Bilbao.
![]() |
Add caption |
![]() |
![]() |
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More