Anthony Joshua aendeleza rekodi ya kibabe - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Anthony Joshua aendeleza rekodi ya kibabe

BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua (28), usiku wa kuamkia Jumapili Septemba 23, 2018, ameendeleza ubabe kwa kumtwanga Alexander Povetkin (39) kwa KO (Knock Out) katika raundi ya saba. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mpambano huo wa uzito wa juu wa raundi 12 uliochezwa nchini Uingereza, uliwakutanisha wababe hao wenye rekodi nzuri za ushindi ambapo kabla ...


Source: MwanahalisiRead More