Antony Mavunde alimsha dude Yanga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Antony Mavunde alimsha dude Yanga

SIKU chache baada ya kuteuliwa kuongoza Kamati Maalumu ya Kuhamasisha Uchangishaji wa fedha Yanga, Anthony Mavunde ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati hiyo ameahidi kuhakikisha lengo la uongozi wa timu hiyo linafanikiwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya kiuchumi inayoikumba.


Source: MwanaspotiRead More