Apple kuzibania apps za Facebook na WhatsApp kwenye iPhone - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Apple kuzibania apps za Facebook na WhatsApp kwenye iPhone

Apple kuzibania apps za Facebook, WhatsApp na apps nyingine mbalimbali kwenye iPhone katika uamuzi unaoonesha kuziathiri apps nyingine nyingi. Apple wamesema wanafanya mabadiliko katika teknolojia ya simu zinazotumia internet (voice over internet protocol – VoIP). Katika mabadiliko hayo programu endeshaji ya iOS haitaruhusu apps zisizotumika kuendelea kufanya kazi nyuma ya pazia (background) kwenye iPhone. Apps [...]


The post Apple kuzibania apps za Facebook na WhatsApp kwenye iPhone appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More