Apple wakiri mauzo ya iPhone kuporomoka duniani, Wachina watupiwa lawama - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Apple wakiri mauzo ya iPhone kuporomoka duniani, Wachina watupiwa lawama

Hatimaye kampuni ya Apple imetoa taarifa rasmi juu ya ripoti ya mwaka jana 2018, ambayo ilieleza kuwa mauzo ya iPhone yameshuka duniani.

Related image

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Apple imeshusha kiwango cha matarajio ya mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka 2019 kutoka kiasi cha dola za Marekani bilioni $89 na biloni $93 kwa mwaka 2018, hadi kiasi cha dola za Marekani bilioni $84 kwa mwaka huu 2019.

Apple wamesema kuwa, tatizo kubwa la kushuka kwa mauzo lilikuwa ni kushuka kwa soko la simu za iPhone nchini china, ambapo Apple imedai kuwa ndipo panapo changia mapato kwa kiasi kikubwa.

Mbali na hayo, Apple pia imetaja sababu nyingine kuwa ni bei ya ubadilishaji wa betri wa simu hizo kushuka ndio maana watu wengi zaidi walijikita kwenye kubadilisha betri za simu zao zaidi kuliko kununua matoleo mapya ya simu hizo za iPhone.

Mbali na mauzo ya iPhone kushuka, mauzo mangine ya bidhaa za Apple kama vile Apple Watch, Apple Music, Apple iCloud na Apple Computer yameonekana kuongezeka kwa kiasi kikub... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More