Apps na Programu za Google Drive na Google Photos zatenganishwa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Apps na Programu za Google Drive na Google Photos zatenganishwa

Google Drive na Google Photos zatenganishwa na Google. Google wamefanya uamuzi huo wakisema unatokana na maoni ya utumiaji ambao wamekuwa wanasema muunganiko wa huduma hizo umekuwa ukiwachanganya. Google wamesema kuanzia mwezi wa saba huduma hizo zitakuwa tofauti rasmi. Muda mrefu imekuwa picha zinazohifadhiwa kwenye huduma ya Google Photos zimekuwa zikichukua nafasi kwenye Google Drive. Watumiaji [...]


The post Apps na Programu za Google Drive na Google Photos zatenganishwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More