Ariana Grande, Drake watikisa tuzo za iHeart Radio 2019, Cardi B aendeleza ubabe (video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ariana Grande, Drake watikisa tuzo za iHeart Radio 2019, Cardi B aendeleza ubabe (video)

Usiku wa kuamkia leo mjini Los Angeles nchini Marekani kulikuwa na ugawaji wa tuzo kubwa nchini humo za iHeart Radio 2019, ambapo mastaa kibao wakubwa akiwemo Drake, Ariana Grande wakiibuka na ushindi mnono kwa kukwara tuzo nyingi.Kwenye tuzo hizo, Ariana Grande na Drake wameibuka na ushindi wa tuzo 2 kila mmoja, huku Alicia Keys akiibuka na tuzo ya heshima.

Cardi B amechukua tuzo ya Hip Hop Artist of the Year, tuzo ambayo watu wengi walikuwa wanaisubiria kwa hamu na alikuwa anapambana na wakali wengine kama Drake, Kendrick Lamar, Post Malone na Travis Scott. Tazama orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo.

Song of the Year:“Better Now” – Post Malone
“Girls Like You” – Maroon 5 featuring Cardi B
“God’s Plan” – Drake
“Perfect” – Ed Sheeran
*“The Middle” – Zedd, Maren Morris, Grey*

Female Artist of the Year: *Ariana Grande*
Camila Cabello
Cardi B
Dua Lipa
Halsey

Male Artist of the Year:  *Drake*
Ed Sheeran
Kendrick Lamar
Post Malone
Shawn... Continue reading ->
Source: Bongo5Read More