ARRIZABALAGA NDIYE KIPA GHALI DUNIA KWA SASA DUNIANI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARRIZABALAGA NDIYE KIPA GHALI DUNIA KWA SASA DUNIANI

Kipa Kepa Arrizabalaga akiwa ameshika jezi ya Chelsea baada ya kukamilisha uhamisho wake wa dau la rekodi, Pauni Milioni 72 kutoka Athletic Bilbao ya Hispania ambalo linaupiku usajili wa Pauni Milioni 66.8 wa kipa Mbrazil, Alisson kutoka AC Milan kwenda Liverpool mwezi uliopita Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More