ARSENAL KUFA AU KUPONA LEO ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARSENAL KUFA AU KUPONA LEO ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE


TIMU ya Arsenal wana kazi kubwa mikononi mwao kama wanataka kuendelea kuuota ubingwa wa Europa mwaka huu.
Arsenal walipoteza mchezo kwa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya kawaida kabisa kutoka ligi ya Ufaransa kwenye mechi ya kwanza ya mzunguko wa 16 bora wiki iliyopita na kwa sasa sasa wanahitaji walau magoli mawili bila majibu ili kufuzu kwenda hatua ya Robo fainali.
Vijana wa Unai Emery walipata ushindi muhimu dhidi ya Manchester United jumapili na morali yao imeongezeka maradufu, hata hivyo Arsenal watakuwa bila beki wao Sokratis ambaye alionyeshwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita.
Kocha huyo anatarajia kumuanzisha mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon Pierre Emerick Aubameyang ambaye alifunga kwa mkwaju wa penati dhidi ya Manchester United kwani anahitaji magoli zaidi ya kitu chochote ili aweze kufuzu.
Kwingineko Chelsea wako katika hali nzuri ukilinganisha na jirani zao wa jiji la London.
Wao walifunga mabao 3-0 dhidi ya Dynamo Kyiv kwenye mchezo wa kwanza lakini walidondosha alama mbili si... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More