Arsenal kupigwa mnada? - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Arsenal kupigwa mnada?

Zinaweza kuwa ni habari zitakazowashtua mashabiki wa Arsenal au zisiwashtue kwa sababu pengine klabu haitabadilika kwa kiwango cha wagusa moja kwa moja mashabiki. Arsenal muda wowote kuanzia sasa inaweza kuwa mikononi mwa mtu mmoja kwa asilimia 100. Imefichuka kuwa kampuni Kroenke Sports&Entertainment chini ya bosi wake Stan Kroenke ipo tayari kuzinunua hisa zote zilizokuwa zikimilikiwa na tajiri Alisher Usmanov.


Source: MwanaspotiRead More