Arsenal watuma salamu za vitisho EPL, Man City, Liverpool na Chelsea wapumuliwa kisogoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Arsenal watuma salamu za vitisho EPL, Man City, Liverpool na Chelsea wapumuliwa kisogoni

Klabu ya Arsenal leo imeonesha matumaini kuwa ina uwezo wa kupigania taji la ligi nchini Uingereza baada ya kuwatandika Fulham goli 5-1 ugenini.Kwa matokeo hayo, Klabu ya Arsenal imeshishika nafasi ya nne kunako msimamo wa ligi hiyo, yenye msisimko zaidi duniani, ambapo wanaingia top 4 kwa mara ya kwanza kwa msimu huu baada yankushinda mechi 6 na kufungwa mechi mbili.Magoli ya Arsenal yamefungwa na Schurrle 44′,  Lacazette 929′,49′),  Ramsey 68′  na Aubameyang (79’90’) huku goli la Fulham likifungwa na Andre Schurrle.


The post Arsenal watuma salamu za vitisho EPL, Man City, Liverpool na Chelsea wapumuliwa kisogoni appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More