ARSENAL YAENDELEA KUNG'ARA, YAICHAPA NEWCASTLE 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARSENAL YAENDELEA KUNG'ARA, YAICHAPA NEWCASTLE 2-1

Mesut Ozil (katikati) akifurahia na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 58 ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 49, wakati la Newcastle lilifungwa na Ciaran Clark dakika ya 90 na ushei ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More