ARSENAL YAPEWA NAPOLI ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARSENAL YAPEWA NAPOLI ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE

Arsenal itamenyana na Napoli, Chelsea na Slavia Prague katika Robo Fainali ya Europa League

 
EUROPA LEAGUE DRAW
QUARTER-FINAL DRAWNapoli vs ArsenalVillarreal vs ValenciaBenfica vs FrankfurtSlavia Prague vs ChelseaThe first legs will be played on April 11 with the second legs being played on April 18. SEMI-FINAL DRAW Napoli/Arsenal vs Villarreal/ValenciaBenfica/Frankfurt vs Slavia Prague/ChelseaTIMU ya Arsenal ya England itamenyana na Napoli katika Robo Fainali ya Europa League. 
Katika droo iliyopangwa leo mjini Nyon, Uswisi, kikosi cha Maurizio Sarri, Chelsea ambayo haijapoteza mechi hadi sasa kwenye mashindano haya, yenyewe itamenyana na Slavia Prague.
Kutakuwa na mtanange wa timu za Hispania tupu kati ya Villarreal na Valencia wakati Benfica itamenyana na Frankfurt katika kuwania Nusu Fainali. Mechi za kwanza zitachezwa Aprili 11 na marudiano Aprili 18.
Chelsea itaanzia nyumbani kwa sababu zote, The Blues na Arsenal haziwezi kucheza London katika usiku mmoja. 
Mshindi wa mechi kati ya ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More