ARSENAL YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUICHAPA BATE BORISOV 3-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARSENAL YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUICHAPA BATE BORISOV 3-0

Sokratis Papastathopoulos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 60 ikiilaza BATE Borisov 3-0 Uwanja wa Emirates mjini London usiku wa jana katika mchezo wa hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Zakhar Volkov aliyejifunga dakika ya nne na Shkodran Mustafi dakika ya 39 na kwa matokeo hayo, Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza nchini Belarus Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More