Arusha United waonyesha ubabe wao kwa AFC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Arusha United waonyesha ubabe wao kwa AFC

Ushindi wa Arusha United unawaweka kileleni mwa Kundi B ikiwa na pointi 7 baada ya kuwafunga Rhino na kutoka suluhu na Boma fc, huku AFC wakibaki na alama mbili walizopata ugenini dhidi ya Geita Goldmine na Mgambo Shooting


Source: MwanaspotiRead More