ARUSHA UNITED YAPANIA KUPANGA LIGI KUU MSIMU UJAO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ARUSHA UNITED YAPANIA KUPANGA LIGI KUU MSIMU UJAO

 Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMKIRUGENZI Mtendaji wa timu ya Arusha United Saad Kawemba amesema kuwa kwa sasa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya kuanza ligi daraja la kwanza baada ya kucheza michezo kadhaa ya kirafiki.
Akizungumzia maandalizi ya kikosi chao lkilichorejea jana kutokea mkoa wa Lindi, Kawemba amesema walikuwa wamepanga kuweka maandalizi ya kikosi chao katika mikoa 2 ambayo ni Dar es Salaam na Tanga na kucheza mechi za kirafiki ila wakabahatika na kuongeza mkoa mwingine ambao ni Lindi.
Kawemba amesema kuwa, wameweza kucheza mechi sita za kirafiki na katika michezo hiyo walifanikiwa kushinda michezo miwili na kutoa sare moja na mitatu wakipoteza.
Amesema kuwa, walianza mechi ya kwanza ya kirafiki na Simba ambapo walipoteza mchezo huo, walicheza pia na Coastal Union ya Tanga na mechi zingine wakicheza Lindi na Dar es Salaam na mchezo mwingine watacheza alhamisi dhidi ya Namungo ya Arusha.
Kawemba amewataka wana Arusha kuwa na imani na timu kwani wana uhakika wa kuoanda lig... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More