Asasi za Kiraia waaswa kufanya kazi kwa uwazi na Uzalendo nchini - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Asasi za Kiraia waaswa kufanya kazi kwa uwazi na Uzalendo nchini

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiAsasi za kiraia nchini zimetakiwa kuwa na Uzalendo,uwazi pamoja na kufanya kazi kwa ushirikiano na serikali kwani kufanya hivyo watasaidia kuleta mchango wa kuinua maendeleo na kukuza uchumi hapa nchini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa kuratibu na sekta na Asasi kutoka TAMISEM Dkt.Andrew Komba I Wakati wa Ufunguzi wa wiki ya Asasi za Kiraia inayotarajia kuanza rasmi Novemba 4 hadi 8 mwaka huu jijini Dodoma.
Amesema kuwa asasi za kiraia hapa nchini zinatoa mchango mkubwa kwa serikali katika kutekeleza majukumu yake ya kuwafikia na kutoa huduma kwa wananchi jambo linalosaidia wananchi kupata maendeleo wao binafsi na taifa kiujumla.
Naye Mkurugenzi Mtendaji  wa Asasi za kiraia Francis kiwanga  ameeleza ushirikiano kati ya asasi za kiraia,Serikali pamoja na wadau wengine wa kimaendeleo ni muhimu kwani ni moja ya njia ambayo itazisaidia asasi hizo kukua zaidia maendeleo wa binafsi pamoja na serikali kiujumla hivyo wataendelea kushirikiana na serikali katika k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More