ASENSIO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 6-1 KOMBE LA MFALME - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASENSIO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 6-1 KOMBE LA MFALME

Marco Asensio (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 33 na 35 ikishinda 6-1 dhidi ya Melilla katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yalifungwa na Javier Sanchez dakika ya 39, Isco mawili pia dakika za 47 na 83 na Vinicius Junior dakika ya 75, wakati la Melilla lilifungwa na Yacine Qasmi kwa penalti dakika ya 81 na Real Madrid inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 10-1 baada ya kushinda 4-0 kwenye mchezo wa kwanza ugenini Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More