ASENSIO AIPANDISHA KILELENI REAL MADRID LA LIGA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASENSIO AIPANDISHA KILELENI REAL MADRID LA LIGA

Marco Asensio akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Ushindi huo unaipeleka Real kileleni ikifikisha pointi 13 baada ya kucheza mechi tano, ingawa inaweza kuachia kiti leo iwapo Barcelona yenye pointi 12 itashinda mechi yake ya tano dhidi ya Girona Jumapili   ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More