Ashitakiwa kwa uhujumu uchumi, kusa kudhamini kesi ya vipodozi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ashitakiwa kwa uhujumu uchumi, kusa kudhamini kesi ya vipodozi

MKAZI wa mtaa wa Uzunguni wilaya ya Muleba, Kagera, Alex Chacha anasota katika gereza la Butimba Mwanza kwa tuhuma za uhujumu uchumi baada ya kumdhamini mmoja wa watuhumiwa wa kesi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Watuhumiwa wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uingizaji na uuzaji wa vipodozi vilivyopigwa marufuku ni Sendi ...


Source: MwanahalisiRead More