ASKARI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASKARI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu Kennedy Komba akizungumza wakati akifungua kikao kazi leo Jijini Tanga kulia ni Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Tanga Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto Goodluck Zelote  Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Tanga Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto Goodluck Zelote akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni  Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu Kenedy Komb Mkaguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Tanga Yusuph Msuya akijitambulisha wakati wa kikao hicho Sehemu ya wakaguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini wakifuatilia kikao hicho meza kuu wakifuatilia hoja  mbalimbali kwenye kikao hicho  Sehemu ya Askari wa Jeshi la Zimamoto wakifuatilia kikao hicho
ASKARI wa Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mikoa ya Kanda ya Kaskazini wametakiwa kufanya kazi kwa waledi,uaminifu na juhudi kub... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More