ASKARI MAGEREZA WANNE WASIMASIHWA KAZI KWA KUINGIZA SIMU GEREZANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASKARI MAGEREZA WANNE WASIMASIHWA KAZI KWA KUINGIZA SIMU GEREZANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha kwa Waandishi wa habari baadhi ya simu zilizokamatwa kwa wafungwa katika Gereza La Ruanda jijini Mbeya. Habari na Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amemuelekeza Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi askari magereza wanne wanaotuhumiwa kuingiza simu za mikononi kwa wafungwa na kurahisisha mawasiliano kati ya wafungwa na watu walioko nje.

Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Mbeya Naibu Waziri Masauni amesema kumekuwepo na tabia ya kuingiza vitu visivyoruhusiwa magerezani ikiwemo simu, madawa ya kulevya huku baadhi ya askari wachache wasio waaminifu wakitumika katika mchezo huo.
“Nimefanya ziara katika Gereza la Ruanda, nimezungumza na wafungwa na kugundua kuwepo kwa simu ambazo mkuu wa gereza alizikamata. Maagizo ya Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli wakati akimuapisha Kam... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More