ASKARI POLISI 400 WANAISHI URAIANI, DKT MGHWIRA AOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI WA NYUMBA KWA ASKARI HAO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASKARI POLISI 400 WANAISHI URAIANI, DKT MGHWIRA AOMBA WADAU KUSAIDIA UJENZI WA NYUMBA KWA ASKARI HAO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ,Hamis Issah wakipokea msaada wa mifuko 200 ya saruji kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Jun Yu , inayotengeneza saruji ya Moshi Cement ,Tian Haifeng . 
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
FAMILIA 400 za askari Polisi kati ya 1600 katika mkoa wa Kilimanjaro wanaishi uraiani hali inayochangia kupungua kwa maadili katika utendaji kazi kwa baadhi ya askari kutokana na kuishi maeneo yasiyokuwa kambi za Polisi.
Kutokana na hali hiyo tayari Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limeanza ujenzi wa nyumba sita katika eneo la kambi za Polisi mjini Moshi kwa ajili ya makazi ya askari hao baada ya kupokea kiasi cha Sh Milioni 150 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt John Pombe Magufuli.

Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa mifuko 200 ya saruji kutoka kampuni ya kichina ya Jun Yu investment ,watengeneza wa saruji ya Moshi Cement ,Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilima... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More