Askofu Bagonza aonya; Kuweni makini nao - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Askofu Bagonza aonya; Kuweni makini nao

DOKTA Benson Bagonza, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Kagera amewataka waumini na wananchi kuwa makini na wanaojinadi kuwatetea. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Amesema, katika kipindi hiki ambacho kuna ubadhirifu mkubwa wa mali ya umma, lazima wapatikane watu ambao wanaweza kutetea hata kama watatukanwa na kubezwa. Dk. Bagonza ...


Source: MwanahalisiRead More