ASKOFU KAKOBE ASHINDWA KUVUMILIA,AKIRI KUTAMBUA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA RAIS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ASKOFU KAKOBE ASHINDWA KUVUMILIA,AKIRI KUTAMBUA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA RAIS

*Asema pamoja na ubishi wake lakini amethibitisha Rais Magufuli anastahili sifa,heshima
  Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
ASKOFU Zacharia Kakobe amesema Rais Dk.John Magufuli anafanya mambo makubwa kiasi cha kwamba amemkosha na kwamba pamoja na ubishi wake kwa sasa anakubali kazi ambayo inafanywa na Rais.
Amesema hayo leo wakati amepata nafasi ya kuomba dua ambapo kabla ya kuomba alianza kwa kuzungumza kutoa la moyoni ambapo amekiri yeye ni mgumu wa kukubali lakini hakika Rais Magufuli anafanya mambo makubwa katika nchi na anastahili kupongezwa.
"Mimi pamoja na ubishi wangu lakini niseme hadharani nimekukuwa lakini sasa nimekubali.Niseme amenikosha.Maandiko ya Biblia yanasema huwezi kupendwa na kila mtu.
"Ukiona unapendwa na watu wote ujue kuna shida.Pamoja na hayo niseme kazi ambayo unaifanya kwa ajili ya nchi yetu unastahili sifa na heshima.Wapo wanaosema ndege zinatokana na kodi zetu wafahamu tunaye Rais ambaye anatuongoza na kufanya mambo makubwa ndani ya nchi yetu,lazima t... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More