Askofu Ruwai’chi atolewa ICU - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Askofu Ruwai’chi atolewa ICU

MHASHAMU Yuda Thadeus Ruwai’chi, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, ametolewa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kiongozi huyo wa kiroho mepelekwa katika wodi ya kawaida, baada ya hali yake kiafya kuanza kuimarika. Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 16 Septemba 2019, na Kitengo cha Uhusiano cha ...


Source: MwanahalisiRead More