Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa

Msanii wa muziki ambaye anafanya vizuri kwa sasa, Aslay amefunguka kuzungumzia mbinu anayotumia katika kuandika ngoma zake kutokana na nyimbo zake nyingi kufanya vizuri. Muimbaji huyo ambaye atakuwa ni mmoja kati wasanii ambao watafanya show katika Tamasha la Sport&Music Festival mkoani Mwanza, amesema katika uandishi wa ngoma zake anazingatia kuzungumzia maisha ya watu ambao anaishi nao.


Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Aslay afunguka siri ya kutoa hit baada ya hit na mpango kwenda Kimataifa appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More