Aslay Atoa Siri ya Wimbo Ninogeshe - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Aslay Atoa Siri ya Wimbo Ninogeshe

Mwanamuziki Aslay amefunguka na kusema kuwa wimbo aliimba Nandy wa ninogeshe ambao umefanya vizuri tangu umetoka katika station mbalimbali aliuandika yeye na alitakiwa kuutoa siku nyingi lakini ilibdi apewe Nandy .


Aslay anasema kuwa nandy alikuwa hana wimbo wa kutoa kwa kipindi hicho hivyo ikabidi wimbo uliokuwa tayari ulioandikwa na aslay apewe Nandy kama menejiment iliyokuwa imepanga na kuona kuwa itakuwa sahishi.


ninogeshe ni wimbo ambao nilitakiwa kuuimba nikiwa na nandy , ila kwa sababu nandy hakuwa na wimbo kwa kipindi hicho ilibidi menejiment iamue kupewa nandy aimbe peke yake.


Hata Nandy pia alishawahi kusema katika moja ya mahijiano yake ya nchini Kenya hivi karibuni kuwa wimbo huo uliimbwa na Aslay.


The post Aslay Atoa Siri ya Wimbo Ninogeshe appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More