AT, Mhe.Rais hawezi kutusaidia sisi wasanii kwa mambo yetu haya tunayoyafanya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AT, Mhe.Rais hawezi kutusaidia sisi wasanii kwa mambo yetu haya tunayoyafanya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya AT amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na maisha ya wasanii na kuwashauri endapo wanataka msaada kutoka serikalini hasa kutoka kwa Mhe.Rais basi waache kabisa mambo ya ajabu.AT amefunguka hayo huku akitolea mfano wadada wanaokaa uchi mitandaoni na kusema kuwa Mhe. Rais akiytaona hayo ataona hao wasanii ni wahuni tu,kumbe kuna wengine wanaiharibu sanaa yetu.By Ally Juma.


The post AT, Mhe.Rais hawezi kutusaidia sisi wasanii kwa mambo yetu haya tunayoyafanya appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More