Ataanza Drake, Then Rihanna kuachia Albamu Mwishoni Mwa Mwaka Huu. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ataanza Drake, Then Rihanna kuachia Albamu Mwishoni Mwa Mwaka Huu.

Baada ya wiki iliyopita kutoka taarifa kwamba album ya Mwanadada Rihanna itatoka mwezi December mwaka huu 2019, Gwiji Rapa Drake naye anamnyatia kwa nyuma.
Kupitia kongamano la Label ya Universal Music Group lililofanyika nchini Ufaransa, Uongozi wa Label hiyo walitangaza album ambazo zitaachiwa mwaka huu ikiwemo ya kwanza kwa Rihanna ndani ya miaka 4 pia Drake naye ametajwa kuachia album yake mwezi November.


Album zingine zitakazotoka mwaka huu kutoka Label hiyo ni kutoka kwa The Weeknd, Migos na Kanye West ambaye ya kwake 'Jesus Is King' itatoka September 27 mwaka huu. 

Albamu ya Nani unaipa nafasi ya kufanya vizuri zaidi pindi itakapotoka? Ipi unaisubiria kwa hamu kuliko zote hapo juu? ... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More