Athari zinazoweza kukukumba kwa kusitisha huduma ya malazi hotelini - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Athari zinazoweza kukukumba kwa kusitisha huduma ya malazi hotelini

Na Jumia Travel Tanzania

Ushawahi kukumbana na kadhia ya kunyimwa huduma ya malazi? Au kulipishwa kwa kutozingatia masharti ya hoteli kuhusu huduma zao?

Wasafiri wengi siku hizi hufanya maandalizi ya mapema pindi wanapotaka kusafiri. Lengo la kufanya hivi linaweza kuwa kupata bei nzuri zaidi au kuepuka usumbufu wa maandalizi ya dakika za mwisho. Lakini kwa baadhi yetu, kufanya maandalizi ya namna hiyo huona kama ni kujisumbua tu kwa sababu kuna uwezekano wa kuahirisha safari yenyewe.

Unaweza kuona kuwa ni jambo la kawaida wewe kama mteja kuamua kuahirisha safari yako na kuwaambia hoteli wasitishe huduma ya malazi uliyoweka. Lakini kuna masuala muhimu ya kuzingatia kuhusu sera zinazowekwa na hoteli hususani katika kusitisha huduma ya chumba ambayo Jumia Travel ingependa kukupatia ufahamu. 
Kuna umuhimu kwa wasafiri kuzifahamu sera za hoteli husika ukizingatia kumekuwa na mitandao mingi iliyoibuka kwa kasi katika utoaji wa huduma za malazi. Ushauri wa kwanza, msafiri anashauri... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More