AUBAMEYANG AFUNGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA BURNLEY 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AUBAMEYANG AFUNGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA BURNLEY 2-1

Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64 ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 43 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More