AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI ARSENAL YAICHAPA SPURS 4-2 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI ARSENAL YAICHAPA SPURS 4-2

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akiruka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika ya 10 kwa penalti na 56 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates.
Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 74 na Lucas Torreira dakika ya 77, wakati ya Spurs yamefungwa na Eric Dier dakika ya 30 akimalizia pasi ya Christian Eriksen na Harry Kane kwa penalti dakika ya 34 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More